• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya mabingwa Ulaya kuendelea kesho, Barcelona yaifuata Olympiakos Ugiriki, Madrid ikitua London kukutana na Spurs

    (GMT+08:00) 2017-10-31 08:47:20
    Kikosi cha timu ya Barcelona kimesafiri kwenda Athens Ugiriki kwa ajili ya mchezo wa kundi D ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji Olympiakos.

    Real Madrid wenyewe wametua jijini London tayari kuikabili Tottenham Hotspurs katika mchezo wa kundi H.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako