• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gofu: Tiger Woods kurejea dimbani hivi karibuni

    (GMT+08:00) 2017-10-31 08:47:39
    Mcheza gofu bora duniani Tiger Woods anatarajiwa kurejea kwenye mchezo wa gofu kuanzia Novemba 30 mpaka Desemba 30, miezi 8 baada ya kuandamwa na majeraha.

    Woods ni mshindi wa vikombe 14 vya kimataifa, alijiondoa kwenye michuano ya Dubai mwezi February kutokana na majeraha ya upasuaji wa mgongo aliofanyiwa miaka 3 iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako