• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchumi wa Afrika eneo la kusini mwa Sahara kuongezeka kwa asilimia 2.7 mwaka 2017

    (GMT+08:00) 2017-10-31 09:25:09

    Shirika la Fedha la Kimataifa IMF limesema, ongezeko la uchumi wa eneo la Afrika kusini mwa Sahara linatarajiwa kufikia asilimia 2.6 mwaka huu kutoka asilimia 1.4 mwaka jana, hali ambayo inatokana na kufufuka kwa uzalishaji wa mafuta nchini Nigeria na kupungua kwa hali ya ukame katika eneo la mashariki na kusini mwa Afrika.

    Kwenye ripoti mpya ya uchumi wa eneo la Afrika kusini mwa Sahara, IMF inasema mwaka kesho ongezeko hilo linatarajiwa kufikia asilimia 3.4, nguvu ya uchumi bado ni dhaifu na ongezeko kwa mwaka 2019 litakuwa nyuma ya mwenendo wa zamani.

    Kwa mujibu wa ripoti hiyo, theluthi moja ya nchi, hasa katika mashariki na kusini mwa Afrika, zitaendelea kuwa na ongezeka la asilimia 5 na zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako