• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Korea Kusini zafanya mawasiliano kuhusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    (GMT+08:00) 2017-10-31 19:13:34

    Wizara ya mambo ya nje ya China imesema China na Korea Kusini zimefanya mawasiliano kuhusu suala la peninsula ya Korea kupitia msaidizi wa waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Kong Xuanyou na naibu mkuu wa ofisi ya taifa ya ulinzi wa usalama ya Korea Kusini Bw. Nam Gwan-pyo.

    Pande hizo mbili zimehakikisha tena kanuni za kutimiza kutokuwepo kwa silaha za nyuklia katika peninsula ya Korea, na kutatua suala hilo kwa usalama. Pande hizo mbili pia zimesema, zitazidi kuimarisha mawasiliano ya kimkakati na ushirikiano.

    Pia zimekubaliana kufanya mazungumzo kuhusu mfumo wa kukinga makombora wa THAAD kupitia njia ya majeshi ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako