• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Burundi: Huenda Burundi ikakosa kuandaa mkutano wa COMESA

    (GMT+08:00) 2017-10-31 19:41:44

    Huenda Burundi ikakosa fursa ya kuandaa mkutano wa COMESA kwa kukosa kufikia vigezo vinanyohitajika.

    Mkutano wa baraza la mawaziri wa COMESA unatarajiwa wiki hii kuamua iwapo Bujumbura inaweza kuandaa mkutano huo au utapelekwa Lusaka, Zambia.

    Ikiwa mkutano huo hautaandaliwa Burundi itakuwa pigo kwa nchi hiyo ambayo ilitarajia kupata fedha za kigeni kusumuka uchumi wake.

    Burundi imekuwa ikikabiliwa na mizozo ya kisiasa tangu mwaka wa 2015 hali ambayo imeathiri uchumi wake.

    Mkutano wa kilele wa COMESA wa 20 awali ulikuwa umepangiwa kufanyika Oktoba 9-20 lakini mwezi Julai maafisa wahusika walielezea wasiwasi kuhusu utayari wa Bujumbura kuandaa mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako