• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Biashara zote Uganda kusajiliwa

    (GMT+08:00) 2017-10-31 19:42:17

    Wizara ya biashara nchini Uganda kwa ushirikiano na kituo cha usajili zitaanza kusajili biashara zote ndogo na za wastani.

    Waziri wa biashara Amelia Kyambadde, amesema usajili huo unalenga kupunguza ukwepaji wa ushuru.

    Alisema aidha usajili huo utakuwa ni wa lazima kwa biashara zote na kutoa wito kwa wanaolengwa kujitokeza kusajiliwa.

    Mwak wa 2016 Uganda iliorodheshwa ya kwanza katika shughuli za ufanyaji wa biashara lakini biashara nyingi za wastani a ndogo hazijasajiliwa.'

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako