• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda kiwanda cha sukari cha Kakira hakitasimamisha wafanyakazi 4,000

    (GMT+08:00) 2017-10-31 19:42:36

    Kampuni ya sukari ya Kakira nchini Uganda imesitisha mpango wake wa awali wa kuwafuta kazi wafanyakazi 4,000.

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya usimamizi wa kampuni hiyo kufanya mazungumzo na viongozi wa chama cha wakulima na wafanyakazi NUPAW katika ofisi za Kakira mjini Jinja.

    Mkurungezi wa nguvu kazi katika kampuni hiyo Moses Thenge, amesema sasa wanasubiri jibu la serikali.

    Kamouni hiyo imekuwa na mpango wa kuwafuta hadi wafanyakazi 4,000 kati ya wafanyakazi wake 7,500 ili kupunguza gharama za oparesheni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako