• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mkurungezi wa Safaricom achukua likizo ya kimatibabu

    (GMT+08:00) 2017-10-31 19:44:03

    Mkurungezi wa kampuni ya mawasiliano nchini Kenya ya Safaricom Bob Collymore amechukua likizo ya kimatibabu ya miezi kadhaa.

    Mkuu wa fedha kwenye kampuni hiyo Sateesh Kamath na mkurungezi wa mikakati Joseph Ogutu watasimamia oparesheni wakati Bob Collymore akiwa likizo hiyo.

    Bwana Ogutu ndiye amefanya kazi kwa muda mrefu zaidi kwenye kamati ya wakurungezi na pia ana uzoefu wa miaka 30 kwenye sekta ya mawasiliano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako