• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KPA yajiandaa kwa michuano ya vikapu Angola

    (GMT+08:00) 2017-11-01 08:22:46
    Malkia wa mpira wa vikapu ukanda wa 5 Afrika, timu ya Halmashauri ya Bandari ya Kenya (KPA) inarejea mazoezini kujiandaa na mashindano ya Afrika nchini Angola yanayotarajiwa kuanza Novemba 10 hadi 19 mwaka huu nchini Angola.

    Mashindano hayo yatajumuisha timu kutoka Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, Somalia na wenyeji Angola.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako