• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baada ya mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga: Simba wamshutumu refa kuwabeba Yanga

    (GMT+08:00) 2017-11-01 08:23:03
    Klabu ya Simba sports club imelalamika kunyimwa penalti mbili na refa Heri Sasii kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara dhidi ya Yanga ambapo ni mahasimu wao wa jadi, mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1.

    Afisa mawasiliano wa klabu hiyo Hajji Manara amewaonyesha waandishi wa habari video ya mchezo huo na kuwaonyesha namna ambavyo refa hakutoa penalti licha ya mpira kuwagonga mikononi beki wa Yanga Kevin Yondani na kiungo Papy Kashamba Tshishimbi. Na kueleza watapeleka malalamiko yao bodi ya ligi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako