• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya riadha ya Diabetes yazinduliwa Zanzibar

    (GMT+08:00) 2017-11-01 08:23:19
    mashindano ya riadha yanayojulikana kama Diabetes Marathon 2017 yamezinduliwa katika uwanja wa Amani visiwani Zanzibar. Mashindano hayo yataanza Novemba 18 ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya kisukari duniani.

    Rais wa chama cha riadha Zanzibar Dkt Abdulhakim Chamasa amesema ni muhimu kwa makampuni kuandaa mashindano kama haya kutoa elimu kwa njia za michezo.

    Mashindano hayo yatakuwa ya kilomita 1 kwa watoto, kuanzia kilomita 2,5,10 na 21 kwa watu wazima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako