• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • La Liga waendelea kukomalia pesa za PSG, waipa UEFA msimu mmoja.

  (GMT+08:00) 2017-11-01 08:49:12

  Rais wa La Liga Javier Tebas, ameibuka tena na kudai kwamba miamba ya Ufaransa PSG inafanya mchezo mchafu kuhusu uchumi.

  Javier amehoji uwezo wa kifedha wanaouonyesha PSG na kitendo hicho kinaathiri soka moja kwa moja huku akiwataka UEFA kuanza kuchukulia uzito suala hilo kwani vilabu vingine vinaathirika kwa matumizi hayo.

  Javier ameonya kwamba endapo UEFA watashindwa kuchukua hatua hadi mwisho wa msimu huu, watakwenda ngazi za juu zaidi na kama wakipatikana na hatia wafukuzwe katika michuano ya Champions League.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako