• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Miji minne ya China yachaguliwa kuwa miji ya uvumbuzi ya UNESCO

    (GMT+08:00) 2017-11-01 08:59:45

    Shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa mataifa UNESCO limechagua miji minne ya China kujiunga na mtandao wake wa miji ya uvumbuzi. Miji hiyo ni Changsha, Macao, Qingdao na Wuhan, na itajiunga na miji mingine 60 kutoka nchi na sehemu 44 duniani kwenye mtandao huo. UNESCO imesema miji hiyo minne imechaguliwa kutokana na juhudi zao za kuendeleza na kubadilishana uzoefu wa kufanya uvumbuzi kwa ajili ya kuhimiza maendeleo ya sekta za uvumbuzi, kuimarisha ushiriki wa watu kwenye maisha ya kiutamaduni na kuuingiza utamaduni kwenye sera za maendeleo endelevu ya miji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako