• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Russia asema hakuna ushahidi unaothibitisha uingiliaji wa Russia kwenye uchaguzi mkuu wa Marekani

    (GMT+08:00) 2017-11-01 09:00:29

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Bw. Sergei Lavrov amesema shutuma kuwa Russia iliingilia uchaguzi mkuu wa Marekani au wa Umoja wa Ulaya, hazina msingi wowote, na watungaji wa shutuma hizo hawawezi kutoa ushahidi wowote. Bw. Lavrov amesema uchunguzi kuhusu uingiliaji wa Russia kwenye uchaguzi mkuu wa Marekani umeendelea kwa miezi tisa, lakini hakuna ushahidi wowote uliotolewa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako