• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Zambia ataka uungaji mkono wa kimataifa kuwasaidia wakimbizi

    (GMT+08:00) 2017-11-01 09:15:05

    Rais Edgar Lungu wa Zambia ametembelea kituo cha muda cha wakimbizi mkoani Luapula, ambapo ameitaka jumuiya ya kimataifa kuunga mkono zaidi juhudi za serikali.

    Rais Lungu amesema wakati serikali na washirika wake wanafanya juhudi kadiri wawezavyo kuwasaidia watu hao, wanahitaji uungaji mkono zaidi.

    Ameongeza kuwa Zambia inatarajiwa kupokea wakimbizi zaidi kutoka DRC, kutokana na hali nchini humo kuonekana kuzidi kuwa mbaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako