• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zaidi ya wanahabari 30 wauawa katika mashambulizi mwaka huu

    (GMT+08:00) 2017-11-02 08:54:30

    Waandaji ripoti wa Umoja wa mataifa wametahadharisha kuhusu kuongezeka kwa mashambulizi yanayowalenga wanahabari, na kusema wanahabari zaidi ya 30 wameuawa mwaka huu kwenye mashambulizi hayo. Wakiongea kabla ya maadhimisho ya Siku ya kimataifa ya kukomesha hali ya kutoadhibiwa kwa uhalifu dhidi ya wanahabari, waandaaji ripoti wa Umoja wa mataifa Bi. Agnes Callamard na Bw. David Kaye wametoa wito wa hatua kuchukuliwa kukabiliana na uhalifu dhidi ya wanahabari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako