• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tarafa 26 nchini China zaondokana na umaskini

    (GMT+08:00) 2017-11-02 09:24:57

    Tarafa 26 maskini katika mikoa 9 nchini China zimetangazwa kuondokana na umaskini baada ya kufanyiwa tathmini na ukaguzi maalumu, na kuidhinishwa na serikali ya mikoa hiyo.

    Mjumbe wa chama wa Ofisi ya kuwasaidia watu kuondokana na umaskini katika Baraza la Serikali la China Bw. Xia Gengsheng, ametangaza habari hiyo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana.

    Bw. Xia amesema hayo ni mafanikio ya mwanzo tu yaliyopatikana katika mchakato wa kupambana na umaskini, na kwamba Ili kuzuia sehemu hizo zisirudi tena kwenye umaskini, serikali ya China itaendelea kutoa misaada kuzijengea sehemu hizo uwezo wa kujiendeleza kiuchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako