• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China akutana na waziri mkuu wa Russia

    (GMT+08:00) 2017-11-02 09:25:27

    Rais Xi Jinping wa China jana alikutana na kufanya mazungumzo na waziri mkuu wa Russia Bw. Dmitry Medvejev mjini Beijing.

    Katika mazungumzo yao, rais Xi Jinping ameeleza kuwa, China inapenda kushirikiana na Russia kupanua ushirikiano kati yao, na kusukuma mbele ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja.

    Kwa upande wake Bw. Medvejev amesema Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China umeweka mipango mizuri kuhusu maendeleo ya China katika siku za baadaye, ambayo yana umuhimu mkubwa kwa China na dunia nzima. Pia ameeleza kuwa Russia inapenda kuimarisha ushirikiano na China katika sekta mbalimbali, na kuimarisha uratibu na China katika mambo ya kimataifa na kikanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako