• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tenisi: Rafael Nadal kukwea hadi namba moja kwenye mchezo wa Tenis

    (GMT+08:00) 2017-11-02 10:14:25

    Rafael Nadal atamaliza mwaka 2017 kwa rekodi ya kuwa mchezaji namba moja kwenye mchezo wa tenis baada ya kumshinda Hyeon Chung kwenye mzunguko wa pili katika michuano ya Paris Masters. Nadal raia wa Hispania ambaye mwanzo wa mwaka huu alikuwa namba tisa katika viwango vya ubora na kuanza kupanda kupitia ushindi wa michuano ya wazi ya Ufaransa na Marekani ameshinda kwa seti 7-5 6-3 ikiwa ni ndani ya saa moja na dakika 48. Nadal mwenye miaka 31 atacheza dhidi ya Pablo Cuevas wa Uruguay katika hatua ya 16 bora.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako