• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Biashara kati ya China na nchi za Ukanda mmoja na njia moja yaongezeka kwa asilimia 15

    (GMT+08:00) 2017-11-03 08:06:28

    Wizara ya biashara ya China imesema thamani ya biashara kati ya China na nchi zilizoko kwenye Ukanda mmoja, Njia moja katika robo tatu zilizopita za mwaka huu imefikia dola bilioni 786 za kimarekani. Hili ni ongezeko la asilimia 15 kuliko mwaka jana kipindi kama hicho. Msemaji wa wizara hiyo Bw. Gao Feng amesema kuanzia Januari hadi Septemba, uwekezaji wa moja kwa moja wa China katika nchi za Ukanda mmoja na Njia moja umefikia dola bilioni 9.6 za kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 29.7 ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako