• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wahalifu 3,317 waliokimbilia nje wakamatwa kwenye operesheni "Fox Hunt" ya China

    (GMT+08:00) 2017-11-03 08:06:45

    Wizara ya usalama wa umma ya China imesema polisi nchini China wamewakamata wahalifu 3,317 waliokimbilia nchi na sehemu 120 duniani katika miaka mitano iliyopita, kwenye operesheni ya Fox Hunt inayowalenga watuhumiwa waliokimbilia nje kuepuka adhabu kutokana na uhalifu wa kiuchumi. Wizara hiyo imesema ushirikiano kati ya idara tofauti na matumizi ya teknolojia vimeongeza ufanisi wa kuwasaka wahalifu waliobadilisha vitambulisho au sura zao kwa njia ya upasuaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako