• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Syria lakamata ngome muhimu ya IS mjini Deir al-Zour

    (GMT+08:00) 2017-11-03 08:07:03

    Jeshi la Syria limetwaa udhibiti wa eneo muhimu kwa kundi la Islamic State mjini Deir al-Zour, mashariki mwa nchi hiyo, baada ya kupambana na kundi hilo. Chanzo cha habari kinasema jeshi hilo na wapiganaji washirika wametwaa eneo la Hamidiyeh lenye vituo vingi vya uongozi wa kundi la IS, na kwamba hivi sasa bado kuna maeneo yanayodhibitiwa na kundi hilo mjini Deir al-Zour, akikanusha ripoti inayodai kuwa jeshi la Syria limetwaa udhibiti kamili wa mji huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako