• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ubalozi wa Uingereza nchini Libya kufunguliwa tena

    (GMT+08:00) 2017-11-03 08:07:20

    Balozi wa Uingereza nchini Libya Bw. Peter Millet amesema ubalozi wake unafanya maandalizi ya kufunguliwa tena mjini Tripoli, baada ya kufungwa kwa miaka mitatu kutokana na sababu za kiusalama nchini humo. Balozi Millet amesema hayo baada ya kukutana na waziri mkuu wa serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa mataifa Bw. Fayez Serraj. Kwenye mazunguzmo yao Bw. Serraj amesisitiza wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchunguza mara moja na kwa ufanisi kuhusu shambulizi la anga lililofanywa hivi karibuni na ndege zisizojulikana katika mji wa mashariki wa Derna, ambalo lilisababisha vifo na majeruhi ya raia mjini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako