• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa UM atoa mwito wa kukomesha hali ya kutoadhibiwa kwa uhalifu dhidi ya wanahabari

    (GMT+08:00) 2017-11-03 08:18:32

    Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Bw. Antonio Guterres ametoa mwito wa kukomesha hali ya kutochukua hatua dhidi ya wanaowadhuru waandishi wa habari, na kusema wahalifu tisa kati ya kumi wanakwepa adhabu.

    Akiongea kwenye maadhimisho ya siku ya kupambana na uhalifu dhidi ya wanahabari duniani, Bw Guterres amesema katika kipindi cha miaka kumi kuanzia mwaka 2006 hadi mwaka 2016, waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari wapatao 930 waliuawa na wengine wengi wakikutana na unyanyasaji wa kijinsia, vitisho, kuwekwa kizuizini na kutendewa vibaya.

    Nchini Uganda kumekuwa na malalamiko kuwa, utendaji wa polisi umekuwa ni kikwazo kikubwa katika utendaji kazi na hata usalama wa waandishi wa habari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako