• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la habari Tanzania kuchukua hatua kuwalinda wanahabari

    (GMT+08:00) 2017-11-03 08:18:54

    Nchini Tanzania baraza la Habari nchini Tanzania limesema litaanza kuwafikisha mahakamani watakaoonekana kuwadhuru wanahabari wakati wakitimiza majukumu yao. Licha ya kuwa hali ya mazingira ya kazi ya wanahabari nchini Tanzania ni ya kuridhisha, kumekuwa na malalamiko ya kujitokeza kwa vitendo vya ukatili dhidi ya wanahabari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako