• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanamfalme zaidi ya kumi na maofisa wa ngazi wa juu wa Saudi Arabia wakamatwa kwa tuhuma za rushwa

    (GMT+08:00) 2017-11-05 16:50:04

    Televisheni ya Saudi Arabia Al Arabiya imeripoti kuwa wanamfalme 11, mawaziri wanne na mawaziri wa zamani 11 wa nchi hiyo wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa baada ya Saudi Arabia kuanzisha kamati ya juu ya kupambana na ufisadi.

    Mfalme Salman bin Abdulaziz Al-Saud wa Saudi Arabia usiku wa Jumamosi alitangaza kuunda kamati kuu ya kupambana na ufisadi inayoongozwa na mrithi wa mfalme Mohammad bin Salman Al Saud, ili kupambana na vitendo mbalimbali vya ufisadi vinavyoharibu maslahi ya taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako