• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindanoya Tennis Rwanda: Ubingwa waenda Kenya

    (GMT+08:00) 2017-11-06 08:18:53
    Kenya yafanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya wazi ya tenisi ya Rwanda baada ya wachezaji wake wawili kuibuka washindi katika mechi za fainali upande wa wanaume na upande wa wanawake.

    Shufaa Changawa ameshinda taji la wanawake kwa kumfunga Aisha Niyonkuru wa Burundi kwa seti za alama 2-6, 6-2 na 7-5 huku Ismael Nzai akishinda kwa 6-2 na 7-5 dhidi ya Duncan Mugabe wa Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako