• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Naibu Waziri wa mambo ya ndani wa Libya anusurika kifo baada ya kushambuliwa na mlipuko wa bomu

    (GMT+08:00) 2017-11-06 09:17:46

    Nchini Libya, Naibu Waziri wa mambo ya ndani wa serikali ya umoja, Faraj Aqim amenusurika kifo baada ya msafara wake kushambuliwa na mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa katika gari lililoegeshwa kando ya barabara mjini Benghazi.

    Akizungumza na televisheni ya Libya, Bw Aqim amethibitisha kuwa shambulizi hilo halikumdhuru, isipokuwa limewajeruhi walinzi wake.

    Licha ya kwamba Serikali imelitaja tukio hilo kuwa ni dhaifu, taarifa zinasema hali bado si shwari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako