• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yafanikiwa kurusha satelaiti mbili za Beidou No. 3

    (GMT+08:00) 2017-11-06 09:23:50

    China imerusha satelaiti mbili aina ya Beidou No. 3 kwa kutumia roketi ya Changzheng No. 3B kwenye kituo cha kurushia satelaiti mjini Xichang, China. Hii ni mara ya kwanza kwa satelaiti aina ya Beidou No. 3 kurushwa, hatua inayoonesha mfumo wa uongozaji wa satelaiti ya Beidou wa China umeingia katika zama mpya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako