• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya kcb imezindua jukwaa la mikopo midogo

    (GMT+08:00) 2017-11-06 20:22:12

    Benki ya KCB Rwanda imesema itakuwa rahisi kwa wateja wake kupata mikopo ndogo ili kuweza kushughulikia mambo ya dharura au kurejesha bidhaa katika maduka yao au biashara zao kupitia mikopo ya simu.

    Akizungumza katika uzinduzi wa Mobiloan wiki iliyopita, George Odhiambo, kaimu mkurugenzi mkuu wa Benki ya KCB, alisema Mobiloan ni sehemu ya mkakati wa wakopeshaji ili kuongeza upatikanaji wa mikopo ndogo kupita kituo chake cha benki cha simu ya mkononi.

    Aidha anasema wateja watakuwa na uwezo wa kuomba mikopo midogo kati ya Rwf500 na Rwf500,000 mara moja kwenye simu zao za mkononi,

    Ndio mtu haweze kupata mkopo huo, ni lazima awe mmiliki wa akaunti ya KCB na amesajiliwa kwenye KCB Mobi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako