• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vikosi vya Somalia na AMISOM vyatoa operesheni kadhaa kuondoa kundi la Al-Shabaab

    (GMT+08:00) 2017-11-07 09:04:07

    Vikosi vya Somalia na tume maalum ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) vimeanzisha operesheni kadhaa kuondoa wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab jimboni Middle Shabelle, kusini mwa Somalia.

    Kamanda mkuu wa batalioni ya 11 ya jeshi la ulinzi la Uganda, Bw Israel Bagenda amesema operesheni hizo pia zinalenga kudumisha usalama wa njia za usafirishaji wa misaada na huduma katika eneo hilo.

    Bw. Bagenda pia amesema, operesheni hizo pia zitasaidia kuongeza usalama wa maeneo ya karibu ili kuwawezesha wakazi kuishi kwa usalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako