• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kuelekea michuano ya CECAFA: Zanzibar yataja kikosi chake

    (GMT+08:00) 2017-11-07 09:05:55
    Kikosi cha timu ya taifa ya wanawake ya Zanzibar kitakachoshiriki michuano ya CECAFA chatajwa

    Kocha mkuu wa soka ya Zanzibar Hemed Suleiman (Morocco) mbali ya kutangaza kikosi cha timu ya taifa ya wanaume pia ametangaza kikosi cha Wachezaji 20 wa timu ya Taifa ya Zanzibar kwa Wanawake (Zanzibar Queens) ambayo inatarajiwa kwenda nchini Rwanda kwenye Mashindano ya CECAFA Woman Chalenji CUP yanayotarajiwa kufanyika muda wowote mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako