• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China kuhudhuria mikutano mfululizo ya viongozi kuhusu ushirikiano kati ya nchi za ASEAN

    (GMT+08:00) 2017-11-07 09:55:23

    Msaidizi wa waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Chen Xiaodong amesema, kwa mujibu wa mwaliko wa rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino, ambayo ni mwenyekiti wa zamu wa Umoja wa Nchi za Asia ya Kusini-Mashariki ASEAN, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang atakwenda Manila kuhudhuria mfululizo wa mikutano ya viongozi kuhusu ushirikiano kati ya nchi za ASEAN utakaofanyika kuanzia tarehe 12 hadi 16 Novemba, na kufanya ziara rasmi nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako