• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Toleo la pili la kitabu cha hotuba za Rais Xi jinping latolewa

  (GMT+08:00) 2017-11-07 18:51:08

  Toleo la pili la kitabu chenye hotuba za rais Xi Jinping kuhusu utawala limetolewa kwa lugha za Kiingereza na Kichina.

  Kitabu hicho kina hotuba 99 za Rais Xi, mazungumzo, maagizo na barua, pamoja na picha zinazomhusu Rais Xi za kati ya mwezi Agosti mwaka 2014 na septemba mwaka 2017. Makala kwenye kitabu hicho zimegawanaywa katika mada 17.

  Makala hizo zinaeleza mwenendo wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China, na Rais Xi akiwa kiini, kuwaunganisha wananchi wa China na kuwaongoza kufuata na kuendeleza ujamaa kwenye umaalum wa China katika zama mpya. Kitabu hicho kina fikra ya Rais Xi kuhusu ujamaa wenye umaalum wa China katika zama mpya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako