• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Serikali ya Rwanda kuanzisha hazina mpya ya kusaidia wakulima

    (GMT+08:00) 2017-11-07 19:22:35

    Serikali ya Rwanda inatarajiwa kuanzisha hazina mpya ya kusaidia wakulima kupata mkopo

    Hazina hiyo itakinga wakulima hidi ya riba za juu zinazotozwa na benki za kibiashara,

    Kulingana mkurungezi mkuu wa mipango na uratibu katika wizara ya kilimo Dkt. Octave Semwaga chini ya mpango uliopo wa miaka 6 benki zitatoa mikopo kwa wakulima kwa makubaliano yaliosaniwa kati ya wizara hiyo na benki husika.

    Dkt. Octave Semwaga amesema kwa sasa Rwanda imejitosheleza kwa chakula kwa asilimia 80 na inalenga kuwa na asilimia 100 chini ya mpango huo mpya na baadaye kuanza kuuza nje chakula cha ziada.

    Kilimo nchini Rwanda huchagia asilimia 30 ya pato la kitaifa na huku kikiajiri asilimia 70 ya watu lakini wakulima hukabiliwa na changamoto za ufadhili kutokana na kukosa sera bora za mikopo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako