• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Marriott International yafungua hoteli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta

    (GMT+08:00) 2017-11-07 19:24:54

    Kampuni ya huduma ya Marriott International imefungua hoteli yenye vyumba 172 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta.

    Four Points itakuwa hoteli ya pili kwenye uwanja huo na inatarajiwa kuwahudumia wasafiri na ongezeko la abiria kwenye uwanja huo mkubwa zaidi Afrika Mashariki.

    Baadhi ya mahadhari yake ni pamoja na baa kwenye paa lake ambapo wageni wanaweza kutazama hifadhi ya wanyama pori ya Nairobi.

    Hoteli hiyo ya uwanja wa ndege imefunguliwa miezi 7 tu baada ya nyingine kufungua milango yake katika eneo la Hurlingham, mjini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako