• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Phantom 8 kuzinduliwa Tanzania

    (GMT+08:00) 2017-11-07 19:25:39

    Baada ya kampuni ya utengenezaji wa simu ya Tecno kuzindua simu mpya aina ya Phantom 8 nchini Dubai, baadhi ya wateja wameanza kutoa 'oda' zao kabla ya uzinduzi hapa nchini.

    Uzinduzi wa simu hiyo nchini unatarajiwa kufanyika Novemba 11 na utakwenda sambamba na kukabidhi simu kwa wateja walioweka 'oda' katika duka la Mlimani City jijini Dar es Salaam. Ofisa uhusiano wa Tecno, Erlick Mkomoya alisema wateja wengi wamevutiwa na uwezo wa simu hiyo iliyo tofauti na matoleo yaliyotangulia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako