• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TFF yaandaa mechi za soka la ufukweni kwa wanavyuo

    (GMT+08:00) 2017-11-08 09:28:49
    Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) litatoa mafunzo ya soka la ufukweni (beach soccer) kwa vyuo mbalimbali nchini humo yatakayofanyika Novemba 18 mwaka huu.

    Mafunzo hayo yatasaidia kutoa hamasa ya soka la ufukweni kuenea zaidi na kupata hazina ya wachezaji wa timu ya taifa ya mchezo huo.

    Akati huo huo, kozi ya waamuzi wa mchezo huo imeanza jana makao makuu ya TFF Karume jijini Dar es Salaam na yatamalizika Novemba 12.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako