• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpira wa kikapu: Hasheem Thabit anahitaji muda zaidi

    (GMT+08:00) 2017-11-08 09:29:37
    Baada ya hivi karibuni kuanika hadharani usajili wake wa moja ya timu zinazoshiriki ligi kuu ya kikapu nchini Japan ya Yokohama N- Corsairs na kuzua gumzo kwa wadau wa michezo nyota wa kikapu Tanzania, Hasheem Thabit ametakiwa kuwa mvumilivu na kutuliza akili kwa kucheza na kuzingatia sheria na kanuni ili kufikia malengo.

    Mkufunzi wa mpira wa kikapu Tanzania Alfred Ngalaji ameeleza kuwa, Hasheem alipokuwa akicheza ligi ya kikapu ya Marekani (NBA) alicheza msimu mmoja kwa mafanikio na mingine hakuwa na mafanikio kwenye klabu yoyote na kurudishwa kwenye ligi ndogo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako