• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Riadha: mashindano ya taifa ya riadha kufanyika Novemba 25

    (GMT+08:00) 2017-11-08 09:29:55
    Mashindano ya taifa ya riadha ya wanawake yatafanyika Novemba 25 na 26 jijini Dar es salaam na hadi sasa, Zanzibar, Singida na Manyara ndio zimethibitisha kushiriki.

    Katibu mkuu wa shirikisho la riadha Tanzania (RT) Wilhelm Gidabuday ameeleza kuwa lengo la mashindano hayo ni kusaka wanariadha watakaokwenda kambini nchini Japan kujiandaa na mashindano ya kufuzu michezo ya olimpiki yatakayofanyika jijini Tokyo Japan mwaka 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako