• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Denis Onyango kipa bora Afrika 2017

    (GMT+08:00) 2017-11-08 09:30:16
    Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemtangaza Denis Onyango wa Kenya kuwa mlinda mlango bora wa Afrika kwa mwaka 2017 licha ya timu yake kutolewa katika hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika msimu uliopita ilipofungwa na Wydad Casablanca ya Morocco.

    Onyango ambaye amaejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 11 bora wa Afrika mwaka 2017, pia ni miongoni mwa wachezaji waliotajwa kuwania taji la mchezaji bora Afrika, katika tuzo zitakazotolewa januari 4 mwaka 2018 nchini Ghana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako