• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mwanariadha wa Kenya afungiwa

  (GMT+08:00) 2017-11-08 09:47:37

  Nyota wa riadha kutoka Kenya Jemima Sumgong amefungiwa kujihusisha na mchezo huo kwa muda wa miaka minne baada ya kukutwa na hatia ya kutumia dawa za kusisimua misuli ambazo zimekatazwa michezoni.

  Sumgong ambaye ni bingwa wa kihistoria katika michuano ya Olimpiki kuwahi kutokea nchini Kenya baada ya kuibuka mshindi wa kwanza mwaka 2016 nchini Brazil.

  Kwa kuwa mwanariadha ameadhibiwa baada ya kukutwa na hatia na wakala wa kupambana na matumizi ya dawa michezoni ya Kenya (Adak), sheria inamruhusu kukata rufaa dhidi ya tuhuma hizo katika mamlaka za juu zaidi ikiwemo WADA.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako