• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunge la Libya lalitaka jeshi kusitisha mapigano

    (GMT+08:00) 2017-11-08 10:05:57

    Msemaji wa bunge la Libya Bw Abdullah Bilhag, amesema bunge hilo limeiagiza kamati ya maridhiano kuwasiliana na jeshi na serikali ya mpito ili kusitisha mara moja mapigano yanayoendelea katika eneo la Warshaffana, magharibi mwa nchi hiyo.

    Bw Bilhag amesema bunge hilo limeazimia kufuatilia kwa karibu taarifa za watu wanaosakwa mjini Warshaffana, kwa kutumia njia madhubuti kupitia vikosi vya usalama vyenye weledi na majeshi ya Libya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako