• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa ulinzi wa nchi za NATO wajadiliana marekebisho ya mfumo wa uongozi wa NATO

    (GMT+08:00) 2017-11-08 10:16:31

    Katibu mkuu wa Shirika la kujihami la nchi za magharibi (NATO) Bw. Jens Stoltenberg amesema mawaziri wa ulinzi wa nchi za NATO wamekubaliana kurekebisha mfumo wa uongozi wa NATO katika mkutano ujao wa robo mwaka.

    Bw. Stonltenberg amesema, mfumo huo ni mhimili wa NATO unaoweza kuhakikisha kujilinda na kuwa na usalama wa ndani, na kuonyesha utulivu nje.

    Habari zinasema mabadiliko hayo ya mfumo huo ni pamoja na kituo kipya cha kulinda njia za mawasiliano baharini kati ya Amerika Kaskazini na Ulaya. na mengine ni kuboresha usafirishaji wa askari na vifaa ndani ya Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako