• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Donald Trump wa Marekani atembelea kasri la kifalme la Beijing

  (GMT+08:00) 2017-11-08 20:55:05

  Rais Xi Jinping na mkewe Bibi Peng Liyuan wamewaalika Rais Donald Trump wa Marekani na mkewe Bibi Melania Trump kutembelea karakana ya uhifadhi wa kasri la kifalme la Beijing.

  Viongozi hao wametembelea eneo la maonyesho ya vitu vya kale na kutazama ukarabati wa baadhi ya vitu vya kihistoria, kwenye karakana inayoitwa "hospitali ya vitu vya kale".

  Viongozi hao wawili walipongeza ushirikiano wa kina uliopo kati ya pande mbili kwenye matunzo vya vitu vya kale.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako