• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Masumbwi: Deontay Wilder ajitapa kumtwanga Anthony Joshua nyumbani kwake Uingereza

    (GMT+08:00) 2017-11-09 08:44:27

    Bingwa wa ndondi katika uzani wa WBC Deontay Wilder amesema atampiga Anthony Joshua nyumbani kwake Uingereza. Wilder mwenye umri wa miaka 32 alitetea taji lake dhidi ya Bermaine Stiverne siku ya Jumamosi, wiki moja baada ya Joshua kubeba taji lake la ukanda wa WBA na IBF dhidi ya Carlos Takam mjini Cardiff. Katika mahojiano, Wilder alimshutumu promota Eddie Hearn kwa kuwadanganya mashabiki kwamba Joshua ndio bondia bora katika uzani mzito duniani. Amesema iwapo Joshua ndio bora, na bingwa, Waingereza wanafaa kumwambia ajitokeze na apigane ndio watajua kwamba yeye ndio bora. Wilder amesisitiza kuwa moyoni anajua kuwa yeye ndio bora na kama sio bora angependa aliye bora aende kumuonesha

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako