• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msumbuji yaidhinisha Makubaliano ya Paris kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa

    (GMT+08:00) 2017-11-09 09:00:34

    Bunge la Msumbuji limeidhinisha Makubaliano ya Paris kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa. Makubaliano hayo yamesainiwa kwenye mkutano wa 21 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa UNFCCC mjini Paris.

    Spika wa bunge la Msumbuji amesema makubaliabo hayo yameidhinishwa na vyama vitatu vinavyounda bunge la Msumbuji. Msumbuji itawasilisha ripoti kuhusu mchango wake katika kupunguza utoaji wa hewa chafu kila baada ya miaka mitano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako