• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi nchini Misri wawadhibiti wapiganaji wanaopinga Serikali

    (GMT+08:00) 2017-11-09 09:38:21

    Rais Abdel Fattar al Sisi wa Misri ametangaza kuwa polisi wamefanikiwa kuwaua wapiganaji wote waliokuwa wakikabiliana nao katika tukio la uvamizi la hivi karibuni isipokuwa mmoja aliyetambulika kuwa ni raia wa kigeni ambaye alikamatwa kwa ajili ya mahojiano. Akiongea na waandishi wa habari mjini Sharm el-Sheikh, Rais huyo amesema uraia wa mwanajeshi huyo aliyekamatwa utatangazwa baada ya mahojiano kukamilika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako