• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China amkaribisha rais wa Marekani kufanya ziara nchini China

  (GMT+08:00) 2017-11-09 10:47:14

  Rais Xi Jinping wa China ameandaa hafla ya kumkaribisha rais Donald Trump wa Marekani kufanya ziara ya kiserikali nchini China, kwenye uwanja wa mashariki wa jumba la mikutano la umma hapa Beijing.

  Kwenye hafla hiyo marais hao wamekagua gwaride la jeshi la ukombozi wa umma la China. Baadaye, marais hao wamefanya mazungumzo rasmi katika jumba la mikutano la umma.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako