• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaeleza msimamo wake kuhusu kupambana na ufisadi

    (GMT+08:00) 2017-11-09 19:19:07

    Naibu waziri wa usimamizi wa China Bw. Cui Peng ameeleza msimamo wa China kuhusu kupambanana ufisadi.

    Akiongea kwenye mkutano wa 7 wa nchi zilizosaini Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu kupambana na ufisadi mjini Vienna, Bw. Cui amejulisha mpango mpya na matakwa mapya yaliyotolewa kwenye Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China kuhusu kupambana na ufisadi, na kueleza imani ya kushinda ufisadi ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China. Vilevile amesifu umuhimu unaooneshwa na mkataba huo kwenye ushirikiano wa kimataifa wa kupambana na ufisadi. Ameitaka jumuiya ya kimataifa ishikilie kanuni za kutovumilia, kutopuuza sekta yoyote, na kutoweka kizuizi kwenye mapambano dhidi ya ufisadi, ili kuchangia ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako